We do not have a sample of this song ):

Tresor Riziki's picture

Angelina

(View album: Rumble in the jungle)



40% accurate

Haunioni haunioni haunioni haunioni
Haunioni haunioni haunioni haunioni

Sema wataka nini
Yote nda kupa we dada
Wewe unanipa tu fonfon

Fon nakosa meneno ya kusema
Unapatiya confusion
Na dunia ina simama

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja tucheze bonbon
Lokoloko like a fonfon

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja tucheze bonbon
Lokoloko like a fonfon

Angelina mbone haunioni
Angelina mbone haunioni
Angelina amore
Baila mo
Angelina amore
Baila mo

Hauleti mapenzi yako
Mimi na baki mpaka inje

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja tucheze bonbon
Lokoloko like a fonfon

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja tucheze bonbon
Lokoloko like a fonfon

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja tucheze bonbon
Lokoloko like a fonfon

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja tucheze bonbon
Lokoloko like a fonfon

Wasema aunitaki mimi
Mimi ni mutu wachini
Ata na mapenzi au ofu

Oh ukunipatia wakati
Mimi ndakupa furaha
Kuja jaribu tu pime

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja kuja kuja basi bonbon
Lokoloko like a fonfon

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja kuja kuja basi bonbon
Lokoloko like a fonfon

Angelina mbone haunioni
Angelina mbone haunioni
Angelina Amore
Baila mo
Angelina Amore Baila mo

Hauleti mapenzi yako
Mimi na baki mpaka inje

Hauleti mapenzi yako
Mimi na baki mpaka inje

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja kuja kuja basi bonbon
Lokoloko like a fonfon

Niko lokoloko uki ni bamba
Kuja kuja kuja basi bonbon
Lokoloko like a fonfon

Mbone haunione
Mbone haunione
Mbone haunione
Mbone haunione
Mbone haunione
Mbone haunione
Mbone haunione
Mbone haunione
Mbone haunione

Haunioni haunioni haunioni haunioni
Haunioni haunioni haunioni haunioni.

Get this song on
Apple Music

Get this song on
Spotify

Youtube
Soundcloud
Share what this song means to you..